OMO aahidi kuwashirikisha wananchi kuinua uchumi Zanzibar

Pemba. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, maarufu OMO, amesema Serikali atakayoiunda itahakikisha kila mwananchi wa Pemba anashiriki katika shughuli za kiuchumi ili kukuza maendeleo ya kisiwa hicho. Amesema wakazi wa Pemba hawatakiwi kufundishwa biashara, kwa sababu wana kipaji na uwezo, hivyo, Serikali ya ACT-Wazalendo itakayoundwa baada ya…

Read More

Ile ishu ya Fadlu kuondoka iko hivi

BAADA ya dabi kumalizika na Simba kupoteza kwa mara ya sita mfululizo mbele ya Yanga, mjadala mkubwa kwa sasa ni kocha wa Wekundu wa Msimbazi, Fadlu Davids ikielezwa yupo mbioni kupigwa chini, lakini kumbe ukweli wa mambo wala sivyo ulivyo kama ilivyosambaa mtandaoni. Tangu jana jioni kumekuwa na taarifa kwamba huenda Fadlu asirejee na kikosi…

Read More

Watawa waliofariki ajalini wazikwa Dar

Dar es Salaam. Watawa wanne waliofariki dunia katika ajali ya gari mkoani Mwanza, wamezikwa  leo Septemba 19 jijini Dar es Salaam na jamii imetakiwa kuwakumbuka kwa kuishi vema kwa kuacha alama. Waliofariki dunia katika ajali hiyo iliyotokea Septemba 15, 2025 mkoani Mwanza baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori, ni Lilian…

Read More

Meridianbet Yachangia Mashine za Sanitizer Mwenge Hospitali – Global Publishers

Kama kawaida wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanaendelea na harakati zao za kurejesha kwenye jamii ambapo leo hii waliigusa hospitali ya Mwenge kwa kuwapelekea mashine maalumu kwaajili ya kuwekea sabuni na sanitizer lengo likiwa na kuimarisha usafi. Hatua hii inatokana na dhamira ya kampuni hiyo kushirikiana na taasisi za afya katika kuimarisha mapambano dhidi ya…

Read More

Mtindo wa maisha unavyopaisha thamani ya kuku

Dar es Salaam. Katika miji na vijiji vya Tanzania, kuku wameendelea kuwa zaidi ya chakula mezani, ni tegemeo la maisha, chanzo cha ajira na kipato cha uhakika kwa maelfu ya wananchi. Biashara ya kuku wa nyama imekua kwa kasi, ikichochewa na ongezeko la mahitaji na mabadiliko ya mtindo wa maisha. Baadhi ya wateja siku hizi…

Read More

Folz achomoa watatu Angola kikosi cha Dabi 

KOCHA wa Yanga, Romain Folz amefanya mabadiliko ya wachezaji watatu katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo ambacho kitaivaa Wiliete  ya Angola jioni hii huko Luanda, tofauti na kile ambacho kilianza katika Ngao ya Jamii dhidi ya Simba, Septemba 16. Yanga inatupa karata ya kwanza katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ikisaka…

Read More

DC NYAMWESE: BIL.1.3/- KULIPA FIDIA WANANCHI MRADI WA GRIDI IMARA HANDENI

Na Mwandishi Wetu,Handeni ULIPAJI fidia kwa wananchi waliopisha Mradi wa Gridi Imara umezinduliwa rasmi katika maeneo ya Mkata, Handeni na Kilindi, huku serikali imeahidi kulinda maslahi ya wananchi na kuhakikisha nishati bora inawanufaisha wote. Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe. Salum Nyamwese, akizindua zoezi hilo, amesema kiasi cha Sh.Bilioni 1.3 kitatumika kulipa fidia kwa wananchi…

Read More