Oryx Gas na TCRF waunga mkono jitihada za Rais Samia kwa kufunga jiko la nishati mashuleni
KATIKA kuunga juhudi za Serikali kupitia kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kampuni ya Oryx Gas Tanzania imeshirikiana na Taasisi ya Tanzania Communities Rise Foundation(TCRF) kuhakikisha shule ambazo zinawanafunzi zaidi 100 kuunganisha jiko linalotumia mfumo wa nishati safi ili kuondokana na matumizi ya mkaa na kuni. Akizungumza leo Septemba 19,2025 katika hafla ya uzinduzi wa…