
Hiki hapa chanzo cha ufaulu wa wanafunzi Ludewa
Njombe. Motisha kwa walimu imeelezwa kuwa chanzo cha Wilaya ya Ludewa kufanya kuongoza kwenye ufaulu wa wanafunzi matokeo ya mtihani wa taifa kidato cha sita na kushika nafasi ya kwanza kimkoa kati ya wilaya zote za Mkoa wa Njombe. Hayo yamesemwa leo Agosti 23, 2025 na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias wakati wa…