Mke wa Rais wa Ufaransa Azua Gumzo Kisa Jinsia – Global Publishers
Last updated Sep 18, 2025 Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, pamoja na mkewe, Brigitte Macron Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, pamoja na mkewe, Brigitte Macron, wanapanga kuwasilisha ushahidi wa picha na kisayansi mahakamani Marekani ili kuthibitisha kwamba Bi Macron ni mwanamke halali. Hii ni sehemu ya kesi ya kumharibia sifa inayowakabili…