JITOKEZENI KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA – NIDA
::::::::; Na Mwandishi Wetu, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewataka wananchi hususan kutoka makundi yenye mahitaji maalumu kujitokeza kwa wingi kujisajili ili kupata Vitambulisho vya Taifa, hatua ambayo itarahisisha upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii ikiwamo afya, elimu na huduma za kifedha. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho kutoka NIDA,…