DKT.ABBASI AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NGORONGORO NA KUSISITIZA UWAJIBIKAJI.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi tarehe 18 Septemba 2025, amefanya ziara ya kikazi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, mkoani Arusha na kuitaka menejimenti ya Mamlaka hiyo kuendelea kusimamia uwajibikaji kwa kufuata sheria,taratibu na kanuni. Katika kikao chake na menejimenti ya mamlaka hiyo mara baada ya ukaguzi wa mradi…