CCM kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja
Unguja. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja ili kuhakikisha wanafikia azma ya kuwa na Taifa linalojitegemea kiuchumi. Samia amebainisha hayo leo Alhamisi Septemba 18, 2025 wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Jimbo la Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Mkutano huo wa kampeni za…