Wasira: Mtuamini tuendelee kuwaletea maendeleo
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho kinafanya kazi kubwa ya kuleta mabadiliko ili kuwaletea maendeleo wananchi.Aidha, amesisitiza wananchi waendelee kukiamini na kukipa nafasi kiendelee kudumisha amani kwa kuwa maendeleo hayatapatikana iwapo itatoweka.Wasira ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na viongozi na wanachama wa CCM kutoka Jimbo la Mbeya, akiwa…