Ziara ya Rais Trump Uingereza Yagubikwa na Vita ya Ukraine – Global Publishers
Last updated Sep 18, 2025 Rais wa Marekani, Donald Trump, ameanza ziara yake rasmi nchini Uingereza, ziara inayotajwa kuwa na umuhimu wa kisiasa na kidiplomasia kwa mustakabali wa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Trump alipokelewa kwa heshima zote za kitaifa na kukutana na viongozi wakuu wa Uingereza, akiwemo Waziri Mkuu pamoja na Mfalme…