BAJETI ZA MIUNDOMBINU YA ELIMU ZITENGWE KUJIANDAA NA MAPOKEZI YA WANAFUNZI KIDATO CHA KWANZA 2028

:::::::: Na OWM – TAMISEMI, Bagamoyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya miundombinu ya elimu, ili kujiaanda na…

Read More

UN yaonya mzozo wa Myanmar unazidi miaka mitano baada ya mapinduzi, huku kura za kijeshi zikizidisha ukandamizaji – Masuala ya Ulimwenguni

Watu wa Myanmar wanaendelea kuteseka kutokana na “ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa za haki za binadamu na sheria za kimataifa za kibinadamu,” msemaji wa UN. Katibu Mkuu Antonio Guterres alisema katika kaulisiku ya Ijumaa, kuadhimisha kumbukumbu ya miaka. “Mateso ya watu wa Myanmar yameongezeka,” Farhan Haq, Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa, alisema, akiashiria…

Read More

TISEZA YATOA VIVUTIO KWA UPANUZI WA MRADI WA HOSPITALI MWANZA

Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetembelea mradi wa Hospitali ya Kamanga Medics (Kamanga Medics Hospital) iliyopo eneo la Nyegezi jijini Mwanza, ambao kwa sasa uko katika hatua ya upanuzi. Hospitali hiyo inamilikiwa na wawekezaji Watanzania, ikiongozwa na Dkt. Rodrick Kabangila ambaye ni Mmiliki na Mkurugenzi Mtendaji wa mradi huo. Mradi…

Read More

MONGELLA AHANI MSIBA WA MGEJA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi-CCM, Bara, John Mongella akiwa ziarani Mkoani Shinyanga amehani msiba wa aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga,Hamis Mgeja aliyefariki dunia tarehe 03 Novemba, 2025. Sambamba na hilo, Mongella akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita,…

Read More

KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA SAMIA LEGAL AID YAJA KIVINGINE, SASA KUTOKOMEZA KABISA MIGOGORO YA ARDHI

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha  SERIKALI imesema imejiandaa kutokomeza kabisa migogoro ya ardhi nchini kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni Jijini Tanga na baadae kuendelea katika Mikoa mingine. Akizungumza Jana Januari 30, 2026 Jijini hapa wakati wa kufunga Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu masuala…

Read More

Mwigulu ahimiza ushirikiano katika utunzaji na uhifadhi

Arusha. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ameagiza wadau wa utalii, uhifadhi na Watanzania kushirikiana na kuendeleza utekelezaji wa mikakati ya uhifadhi kwa maendeleo endelevu na uchumi wa taifa. Aidha, amewataka Watanzania kuwa na utamaduni wa kuweka akiba ili waweze kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo nchini badala ya kutegemea watalii wa nje…

Read More

Chongolo: Tuna chakula cha kuhudumia nchi kwa miezi 18

Dar es Salaam. Wakati maeneo mbalimbali nchini yakiendelea kushuhudia mvua zinazonyesha chini ya kiwango na mengine kuwa makame, Serikali imesema akiba ya chakula iliyopo inatosha kuhudumia wananchi kwa miezi 18 itakapohitajika. Akiba ya chakula iliyopo sasa ya tani 550,000 ni zaidi ya kiwango kinachohitajika cha tani 150,000 kwa ajili ya kuhudumia wananchi wake kwa miezi…

Read More