BALOZI MULAMULA ASISITIZA AMANI NA UMOJA 2026
::::::::: Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake Amani na Usalama, Liberatha Mulamula, amewatakia Watanzania heri ya mwaka mpya huku akiwatasisitiza kuendelea kudumisha amani na umoja. Waziri huyo Mstaafu wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mulamula ameyesema hayo alipozungumza leo, huku akiwapongeza Watanzania kwa kupokea mwaka mpya. Amewapongeza, wananchi…