Hekima na ubora wa miezi mitukufu kwenye Uislamu
Dar es Salaam. Hakika miongoni mwa ukamilifu wa kumtukuza Allah Mtukufu ni kukitukuza kila alichokifanya kuwa kitukufu miongoni mwa alama za dini na ibada. Miongoni mwa utukuzaji huo ni kuitukuza miezi mitukufu aliyoipa heshima maalumu na ameitaja katika Qur’an, ambayo ambayo ni Rajab, Dhulqada, (mfungo pili), Dhulhijja (mfungo tatu) na Muharram (Mfungo nne) . Allah…