Rais wa zamani wa Brazil Aruhusiwa Hospitali, Arudishwa Gerezani
Rais wa zamani wa Brazil Jair Bolsonaro ameondoka hospitalini katika Mji Mkuu wa Brasilia, wiki moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Ngiri mara mbili, na kurudishwa Gerezani chini ya ulinzi wa Polisi wa Shirikisho kuendelea kutumikia kifungo chake cha miaka 27 jela. Gari lilimsafirisha Bolsonaro kutoka hospitali ya DF Star hadi Makao…