MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA SMZ DKT.SHEIN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika makazi yake Unguja, Zanzibar, leo tarehe 03 Januari 2026.