Upelelezi wakwamisha kesi ya mauaji ya Mobe
Musoma. Kesi ya mauaji ya Rhoda Mobe (42) aliyekuwa mkazi wa Kijiji cha Burunga Wilaya ya Serengeti mkoani Mara imeahirishwa hadi Januari 19, 2026 kwa kuwa upelelezi haujakamilika. Kesi hiyo ambayo leo Jumatatu Januari 5, 2026 ni mara ya tatu kusomwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma inahusisha washtakiwa wawili, mmoja akiwa ni mwalimu wa…