Wakazi wa Lindi Waendelea kusherehekea Mwaka Mpya na Makapu ya Vodacom.

 Afisa wa Vodacom Feruzi Mlaponi ( Kulia) akiwa na mteja wa kampuni hiyo Said Kikotokeki, baada ya kumkabidhi kapu la Vodacom. Tukio hili limefanyika ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kugawa makapu ya sikukuu kwa wateja katika msimu wa sherehe za kuanza mwaka. Kampeni hiyo imeendelea katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Hafla hii imeandaliwa na Vodacom ikiwa na lengo la kusherehekea mwaka mpya pamoja na wateja wao na kuwaonesha ushirikiano. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Lindi.

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Lindi Omary Kilumanga (Kushoto) na Afisa wa kampuni hiyo Feruzi Mlaponi (Kulia) wakikabidhi kapu la sikukuu kwa bi Anna Milanzi ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kugawa makapu ya sikukuu kwa wateja katika msimu wa sherehe za mwaka mpya. Kampeni hiyo imeendelea katika mikoa mbalimbali hapa nchini huku hafla hii ikiwa imeandaliwa na Vodacom kwa lengo la kusherehekea mwaka mpya pamoja na wateja wao na kuwaonesha ushirikiano. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Lindi.

Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Mkoa wa Lindi Omary Kilumanga (wa nne kulia) akizungumza na wateja pamoja na wakazi wa mkoa huo baada ya kukabidhi makapu ya sikukuu kutoka Vodacom. Tukio hili limefanyika ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kugawa makapu ya sikukuu kwa wateja katika msimu wa sherehe za kuanza mwaka. Kampeni hiyo imeendelea katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Hafla hii imeandaliwa na Vodacom ikiwa na lengo la kusherehekea mwaka mpya pamoja na wateja wao na kuwaonesha ushirikiano. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki mjini Lindi.