TASAC YAFANYA MAJARIBIO YA BOTI YA UTAFUTAJI NA UOKOAJI MKOANI TANGA
Maafisa wa TASAC na Wazabuni wa Boti ya Utafutaji na Uokoji wakiwa ndani ya Boti mara baada ya kuifanyia majaribio mkoani Tanga. *Kongole zatolewa kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kufanya matokeo kwa vitendo Na Mwandishi Wetu,Tanga SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limefanya ukaguzi na majaribio ya kitaalamu ya boti ya utafutaji na uokoaji…