Wakili Alute Mughwai, kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema mwaka 2025 ulikuwa mgumu sana kwa familia yao kutokana na kukamatwa na kushtakiwa kwa kesi ya uhaini kwa ndugu yake, Tundu Lissu.
Alute alisema kuwa tukio hilo limeathiri familia kimawazo na kihisia, huku akisisitiza umuhimu wa haki na usawa katika kushughulikia masuala yanayohusu ndugu yake.
Related
