WASHINDI WA MY AIRTEL APP WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO, SASA KUTOA GARI

Washindi na watumiaji wa My Aitel App wajipatia zawadi zao, pia Airtel kutoa garI aina ya Mazda. Watumiaji wa Mtandao huo waaswa kutumia My Artel App kwaajili ya kujipatia zawadi mbalimbali zinazotolewa msimu huu wa sikukuu.

Kutazama video bonyeza hapa