Depu, Yanga kimeeleweka, siku ya kutua yatajwa

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiweka sawa kabla ya keshokutwa Ijumaa kuvaana na Singida Black Stars katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, lakini mabosi wanajiandaa kuupokea ugeni mzito kutoka Ulaya. Ndio! Kama unakumbuka juzi kati Mwanaspoti lilikupa taarifa kwamba kocha mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves ameachiwa jukumu la kuamua ashushe straika gani…

Read More

Mzizima Derby… Mechi ya kisasi

UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 na Azam FC. Na leo usiku inapigwa mechi nyingine ya dabi hiyo, lakini ni katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Unguja. Lakini, kama…

Read More

Uchizi Vunga  azigonganisha mbili Bara

KIUNGO mshambuliaji wa Silver Strikers ya Malawi, Uchizi Vunga ameziingiza vitani Singida Black Stars na TRA United ambazo zinawania saini yake. Uchizi ni kiungo ambaye alionyesha ubora dhidi ya Yanga kwenye mechi za hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika na kuibuka gumzo kutokana uwezo aliouonyesha. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Singida Black Stars…

Read More

Mratibu wa Umoja wa Mataifa – Masuala ya Ulimwenguni

Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari mjini New York, Ghulam Isaczai alizungumza kuhusu mabadiliko kutoka kwa Ujumbe wa muda mrefu wa Umoja wa Mataifa wa Misaada kwa ajili ya Iraq (UNAMI), ambayo ilihitimisha mamlaka yake mwezi Desemba, kwa ushirikiano na mamlaka za kitaifa zilizojikita katika maendeleo. “Kwa wale walioishi katika miaka ya mwanzo yenye matatizo…

Read More