CCM KUFANYA MAPITIO SHERIA IDADI NYUMBA ZINAZOPASWA KUSIMAMIWA NA MABALOZI

-Lengo ni kuwapunguzia mzigo wakati wa kutekeleza majukumu yao Na Said Nwishehe,Michuzi TV KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Dk.Asha-Rose Migiro ameeleza kuwa Chama hicho kitafanya mapitio ya sheria kuhusu idadi ya nyumba zinazopaswa kusimamiwa mabalozi Ili kuwapunguzia mzigo wakati wa kutekeleza majukumu yao. Dk.Migiro ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na viongozi wa mashina wa…

Read More

NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS -UTUMISHI ATOA RAI KWA WANANCHI ARUMERU KUILINDA MIRADI YA TASAF

Na Mwandishi Wetu,Arusha. NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-Utumishi, Regina Qwaray,amewataka wananchi wa Wilaya ya Arumeru walionufaika na miradi iliyojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jami (TASAF), kuilinda kwa wivu mkubwa miradi hiyo ili idumu kwa muda mrefu na kuwapa huduma nnafuu. Ametoa raia hiyo jana alipotembelea miradi ya mfereji wa umwagiliaji maji katika Kata ya…

Read More

Kile ambacho Marekani kujitoa kwenye mashirika ya Umoja wa Mataifa kunaweza kumaanisha kwa hali ya hewa, biashara na maendeleo – Masuala ya Ulimwenguni

Ijumaa, Januari 09, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Nia ya Marekani ya kujiondoa katika mashirika mengi ya Umoja wa Mataifa iliyotangazwa wiki hii inalenga programu na mipango inayozingatia maeneo mbalimbali muhimu, ikiwa ni pamoja na mgogoro wa hali ya hewa, biashara, jinsia na maendeleo. Wakati Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric taarifa Waandishi…

Read More