Wanne wafariki dunia ajalini Tanga, 16 wajeruhiwa

Korogwe. Ajali nyingine ya gari imetokea katika Mkoa wa Tanga na kusababisha vifo vya watu wanne huku wengine 16 wakijeruhiwa. Ajali hiyo ni ya tatu iliyosababisha vifo ndani ya siku chache za mwanzo wa mwaka 2026 na mwishoni mwa 2025. Ajali ya kwanza ilitokea Morogoro, Desemba 31, ikiua watu 10 na kuwajeruhi 18. Taarifa kwa…

Read More

Chomelo ataja sababu ya kutoonekana uwanjani

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Konya Amputee inayoshiriki Ligi ya Walemavu nchini Uturuki, Ramadhan Chomelo amesema sababu ya kutoonekana uwanjani ni kutokana na kuchelewa kupata kibali cha kazi. Kiungo huyo aliachana na Konya msimu uliopita baada ya kuitumikia kwa misimu mitatu mfululizo na tayari amepewa mkataba wa mwaka mmoja na Despas Enerji ya nchini humo….

Read More

Boyeli asepa Yanga akimtaja Dube

SIKU chache baada ya kuaga Yanga, mshambuliaji Andy Boyeli ameitakia kila la kheri timu hiyo katika mapambano ya kutetea mataji na kusaka ubingwa wa Afrika, huku akimtaja straika Mzimbabwe, Prince Dube. Boyeli aliyejiunga na Yanga kwa mkopo wa mwaka mmoja mwanzoni mwa msimu huu akitokea Sekhukhune United ya Afrika Kusini, ameitumikia timu hiyo kwa miezi…

Read More