Baada ya kusaini Yanga, Okello avunja rekodi ya mauzo
BAADA ya Yanga kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa winga wa Vipers na timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, Allan Okello timu hiyo kwa sasa imevunja rekodi ya usajili ya kikosi hicho na kuivuka iliyokuwa inashikiliwa na Cesar Lobi Manzoki. Okello amekamilisha usajili huo baada ya mazungumzo ya pande mbili kati ya Rais wa Yanga, Injinia…