Ni kisasi, rekodi na ubabe Gombani

KUNA vita nyingi zinakwenda kushuhudiwa leo Jumanne katika fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Dimba la Gombani kisiwani Pemba na Azam itacheza dhidi ya Yanga. Hii ni fainali ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi inazikutanisha Azam na Yanga tangu 2007 ilipoanza michuano hiyo rasmi kwa kushirikisha timu kutoka nje ya Zanzibar. Licha ya kwamba…

Read More

Beki: Simba SC inahitaji viongozi vijana

KIKOSI cha Simba kinaendelea na kambi ya mazoezi kujiandaa na mechi mbili za kimataifa dhidi ya Esperance ya Tunisia zitakazopigwa mwisho mwa mwezi huu, lakini kuna nyota wa zamani wa timu hiyo ameamua kuvunja ukimya na kutoa ushauri ambao wanasimba wakiufanyia kazi huenda ukawabeba. Nyota huyo wa zamani ni Amir Maftah aliyewahi kuwika na timu…

Read More

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) na leo tena

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea leo kwa mechi nne ngumu zitakazopigwa kwenye viwanja tofauti ikiwa ni raundi ya nane. Hadi sasa Simba Queens inaongoza msimamo wa ligi hiyo kwenye mechi saba ikiwa na pointi 19, Yanga Princess nafasi ya pili na pointi 18, mabingwa watetezi nafasi ya tatu na pointi 17 huku Fountain Gate…

Read More

Yanga yailazimisha Pamba irudi sokoni

DILI la kipa Yona Amosi wa Pamba Jiji kutua Yanga lipo hatua za mwisho na jambo hilo limelifanya benchi la ufundi la chini ya kocha Francis Baraza kurudi sokoni haraka kusaka mbadala wa kipa na nahodha huyo wa kikosi hicho  jijini Mwanza. Kipa huyo aliyeshika namba mbili ya makipa wazawa waliofanya vizuri msimu uliopita akiwa…

Read More

Mahakama ya Umoja wa Mataifa yaanza vikao vya kihistoria kuhusu kesi ya mauaji ya kimbari ya Rohingya dhidi ya Myanmar – Global Issues

Kesi hiyo iliyofanyika katika Ikulu ya Amani huko The Hague, inaashiria kuanza kwa awamu ya uhalali katika kesi hiyo, baada ya miaka mingi ya mabishano ya awali ya kisheria. Katika wiki tatu zijazo, ICJ majaji watasikiliza hoja za mdomo kutoka pande zote mbili, watachunguza mashahidi na wataalam, na kuzingatia kama Myanmar ilikiuka majukumu yake chini…

Read More