DKT.NCHIMBI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Mikami Yoichi, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leo tarehe 14 Januari 2025.

Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha zaidi ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na Japan.