ACT Wazalendo kuamua hatima ya SUK Jumapili
Dar es Salaam. Macho na masikio ya wanachama wa ACT Wazalendo yataelekezwa Jumapili Januari 18, 2026 wakati chama hicho, kitakapofanya uamuzi wa kuingia au kutoingia kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar. Uamuzi wa ACT – Wazalendo kuingia au kutoingia ili kuunda SUK Zanzibar, utafanyika siku hiyo katika kikao cha kamati kuu, ambacho pamoja…