Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba akizungumza katika kikao cha kazi na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda na Timu ya Wataalam kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Dkt.Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir (kulia ) na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo katika kikao cha kazi na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia na Timu ya Wataalam kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Januari 15, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).