Meridianbet Yatoa Fursa ya Ushindi Leo Jumamosi


Wakali wa ubashiri Tanzania hii leo wanakwambia hivi, wapo tayari kukulipa zaidi ya Mamilioni endapo utasuka jamvi lako na kubashiri hapa. Mechi kibao za ushindi zinapatikana hapa. Beti sasa.

Kule Ujerumani, BUNDESLIGA kitapigwa vikali Borussia Dortmund atakiwasha dhidi ya S.T. Pauli ambao wapo nafasi ya 16 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 21. Tandika jamvi mechi hii.

Bayer Leverkusen atakuwa ugenini dhidi ya Hoffenheim ambao wapo nafasi ya 6 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 4 kwenye ligi. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi mwenyeji aliondoka na ushindi. Leo hii mgeni anataka kulipa kisasi. Je ataweza?, Bashiri na Meridianbet leo.

Mechi kali leo hii hapa Ujerumani ni hii ya RB Leipzig vs Bayern Munich ambapo wenyeji wanaingia uwanjani wakikumbuka kipigo walichopata mechi ya kwanza ya ligi. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Kompany na vijana wake. Je wewe unampa nani nafasi ya ushindi?. Jisajili hapa.

Kusanya pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA pia kuna mechi ya kubashiri ambapo Real Madrid atamenyana dhidi ya Levante katika dimba la Bernabeu. Real wamemtimua kocha na kuleta kocha mpya baada ya kushindwa kupata Kombe. Je kwenye ligi wanaweza kupambania?. Nafasi ya ushindi wanayo wenyeji. Suka jamvi hapa.

Osasuna atakuwa uso kwa uso dhidi ya Real Oviedo ambao wanahsika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi huku akiwa ameshinda mechi 2 hadi sasa. Mwenyeji yeye ameshinda mechi 5 kwenye ligi hadi sasa. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Tandika jamvi hapa.

Kwa upande wa Villarreal wao watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Real Betis huku takwimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Jisajili hapa.

Ligi kuu ya Uingereza, EPL itaendelea ambapo Manchester United atakipiga dhidi ya Manchester City kule Old Trafford ambapo mara ya mwisho kukutana, City aliondoka na ushindi. Je ni wakati sahihi wa United kulipa kisasi huku wakiwa wamemuondoa Amorim?. Bashiri hapa.

Chelsea takuwa Stamford Bridge kukipiga dhidi ya Brentford ambapo mechi ya kwanza ya msimu walitoa sare. Hii ni mechi ambayo kila timu inahita ushindi kujiweka sawa kwenye nafasi nzuri. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA hivyo ingia na jisajili hapa.

Vinara wa ligi, Arsenal watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Nottingham Forest ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. The Gunners wanahitaji ushindi mkubwa leo ili waendelee kusalia kileleni kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanawapa nafasi kubwa ya kushinda vijana wa Arteta. Beti hapa.