Mapya yaibuka aliyeua watoto watatu wa familia moja
Mbeya. Siku moja baada ya Polisi Mkoa wa Mbeya kueleza kuwa wanamshikilia Dotto Lubogeja (22) kwa tuhuma za kuwaua watoto watatu wa familia moja, taarifa mpya kuhusu tukio hilo zimeibuka, ikiwemo simulizi ya jinsi mtuhumiwa huyo alivyoawa na wananchi. Jeshi la Polisi, kupitia taarifa yake, lilisema mtuhumiwa huyo aliwanyonga watoto hao watatu ambao ni Petro…