Chagua Mabingwa Wako Leo, Ubeti na Meridianbet


Ligi ya mabingwa barani Ulaya inaendelea leo hii ndani ya Meridianbet huku ikiwa ni bado mechi zipo kwenye mfumo wa ligi. Timu zingine zipo kwenye hali nzuri huku zingine zikiwa bado zinajitafuta sasa. Na wewe jitafute uanze kupiga mkwanja leo.

Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kupepetana dhidi ya AS Monaco ya kule Ufaransa ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 19 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 7. Ushindi huu ni muhimu wa Real kwani utawapeleka hadi nafasi ya juu. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Kwa upande wa Sporting Lisbon wao watamenyana dhidi ya bingwa mtetezi PSG ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 3 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14 na pointi zao 10. Meridianbet wao wanampa bingwa mtetezi nafasi kubwa ya kushinda ugenini. Je wewe unampa nani nafasi ya kushinda?. Jisajili hapa.

Piga pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia Tottenham Host Spurs atamleta kwake Borussia Dortmund ambapo mechi ya mwisho kukutana kati yao ilikuwa ni 2019 ambapo BVB alichapika, hivyo leo hii anataka kulipa kisasi akiwa ugenini. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii pale Meridianbet, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa.

Villarreal uso kwa uso dhidi ya Ajax ambao tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni pointi 2 pekee. Timu zote zipo mkiani kwenye ligi ya mabingwa hadi sasa. Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 siku ya leo. Jisajili hapa.

Club Brugge atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Kairaty Almaty ambao mpaka sasa wana pointi 1 pekee huku wageni wao wakiwa na pointi 4. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana kwenye mashindano yoyote hii ndio mara ya kwanza. Je nani kushinda leo?. Bashiri hapa.

Nao vijana wa Pep Guardiola Manchester City watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Bodoe/Glimt ambao mpaka sasa hawajashinda mechi yoyote. City wao wapo nafasi ya 4 na ushindi ni muhimu sana kwenye mechi hii. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda City. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Tandika hapa.

Vijana wa Napoli wao wakiwa na matokeo ambayo hayaridhishi watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Copenhagen ambapo wote wana pointi 7 kwenye msimamo wa Uefa. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye mechi zilizobaki. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili hapa.

Mechi kali ni hii ya Inter Milan vs Arsenal ambao ndio vinara wa msimamo wa UEFA kwani mpaka sasa kwenye mechi 6 walizocheza wameshinda zote huku vijana wa Chivu wao wakishinda 4 na kupoteza mbili hadi sasa. Je vijana wa London wataendeleza ushindi wao?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Suka jamvi lako hapa.