Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20,2026 amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamadi Masauni, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Viongozi wengine walioshiriki katika mazungumzo hauo ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Dkt. Festo Dugange na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, Dkt. Richard Muyungi.

Related
