CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo
CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo – Global Publishers Home Michezo CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo
CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo – Global Publishers Home Michezo CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker ameshindwa kujizuia kwa kuonyesha kuvutiwa na urejeo wa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama, akisema usajili huo ni hatua muhimu katika kuimarisha kikosi hicho kutokana na uzoefu wake. Mara ya kwanza, Chama alitua Simba mwaka…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Hamis Kiiza ‘Diego’ amemtabiria makubwa kiungo mpya wa timu hiyo, Allan Okello ‘Star boy’, huku akisema Yanga imelamba dume kwa nyota huyo wa Uganda akiamini atafanya mambo makubwa ndani ya klabu hiyo na kuandika rekodi yake mwenyewe huku akiitaja nidhamu yake kuwa ndio itakayombeba. …
Ni pamoja na mashambulizi katika eneo la Odesa siku ya Jumatano yaliyomuua mvulana wa miaka 17, kulingana na shirika la Umoja wa Mataifa la kutetea haki za watoto. UNICEF ambayo kuitwa kwa “mwisho wa mashambulizi kwenye maeneo ya kiraia na miundombinu ambayo watoto wanaitegemea.” Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu…
YANGA tayari ipo jijini Alexandria, Misri kuvaana na wenyeji Al Ahly katika mechi ya Kundi B, huku wawakilishi hao wa Tanzania wakiwa na matumaini na kuendelea ilipoishia na kuwatoa hofu mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo wakiwataka wawaombee dua tu ili wawape raha ugenini. …