January 30, 2026
Barker atoa kauli nzito Simba ikiisaka rekodi ngumu CAF
BAADA ya kumalizana na Mashujaa katika mechi ya Ligi Kuu Bara, wekundu wa Msimbazi, Simba wamehamishia hesabu zao Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mechi muhimu kushinda na ya uamuzi dhidi ya Esperance Sportive de Tunis itakayopigwa Jumapili wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam, huku kocha wa kikosi hicho akiwa hana…
Pedro afichua jambo la kushtua kuhusu Depu
WAKATI huko Yanga mashabiki wakifurahia moto wa mshambuliaji wao mpya, Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’ lakini kuna kauli imetoka kwa kocha wa kikosi hicho, Pedro Goncalves ikiashiria kuna kitu bado hakijakaa sawa. Pedro amekutana na pongezi kutoka kwa mabosi wa Yanga juu ya…