NECTA YATANGAZA MATOKEO KIDATO CHA NNE

 ……..

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Prof. Said A. Mohamed, ametangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Kidato cha Nne (CSEE) 2025 leo tarehe 31 Januari, 2026 jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa matokeo hayo, jumla ya watahiniwa 526,620 kati ya 595,810 waliopata matokeo wamefaulu mtihani huo, hatua inayodhihirisha ongezeko la ufaulu kwa mwaka huu.

Bofya hapa kutazama matokeo zaidi

https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm