Pedro awatangazia vita Ahly, wenyewe wajibu
Yanga itakuwa na mchezo mgumu kesho dhidi ya Al Ahly, huku kocha Pedro Goncalves akitangaza kwamba wapo tayari kucheza na mabingwa hao wa kihistoria wa Afrika. Yanga itakuwa mwenyeji wa Ahly kwenye mchezo wa nne wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, utakaopigwa kesho katika Uwanja wa New Amaan. Akizungumza kwenye mkutano wa…