SAMIA LEGAL AID KURUDISHA TABASAMU LA WANANCHI.

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV, Arusha. Msaada wa kisheria wa Samia Legal Aids umeahidi kurudisha tabasamu kwa wananchi kwa kuwapatia msaada wa kisheria katika migogoro inayowakumba hadi pale ufumbuzi unapopatikana. Akizungumza katika mkutano wa wanasheria kutoka sekretarieti za mikoa wanaotoa msaada wa kisheria kutoka  SAMIA LEGAL AIDS nchi nzima, Mkurugenzi wa sheria ofisi ya Waziri…

Read More

Kocha Alliance Girls asepa, timu yabariki

HATIMAYE baada ya tetesi za muda mrefu, Kocha Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma ameondoka klabuni hapo na kwenda kutafuta changamoto kwingine baada ya mazungumzo ya kuongeza mkataba kushindwa kufanikiwa. Juma ameondoka pamoja na wasaidizi wake, Amani Luambano na Masoud Bakari (kocha wa makipa), ambao walisaini mkataba wa mwaka mmoja msimu uliopita. Chini ya benchi…

Read More

ZAIDI YA BILIONI 67 ZAPITISHWA KUING’ARISHA CHATO

………… CHATO BARAZA la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Chato mkoani Geita, imejadili na kupitisha makisio ya bajeti ya Tsh. Bilioni 67,016,792,267.93 kwa lengo la kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi na halmashauri hiyo. Bajeti hiyo inaongezeko la kiasi cha Tsh. 397,666,268 ukilinganisha na makisio ya kiasi cha bilioni 66,619,125,999.93 ya bajeti…

Read More

NIRC, JKT YAUNGANA KUONGEZA UZALISHAJI KUPITIA UMWAGILIAJI

📍 Mlimba, Kilombero – Morogoro Shamba la Chita JKT, lenye ukubwa wa ekari 12,000 zinazolimwa, limepangwa kuwa mfano wa ushirikiano kati ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC).  Tangu mwaka 2021, Jeshi limekuwa likiendeleza mashamba haya kwa kutumia rasilimali za ndani, likikodisha mitambo na kusawazisha mashamba ili kuongeza tija…

Read More