Mapya yaibuka maiti iliyofukuliwa Dodoma

Dodoma. Kaburi la marehemu Peter Kanyamala (85), mkazi wa Mtaa wa Mbalawala jijini Dodoma limefukuliwa na watu wasiojulikana wiki mbili baada ya kuzikwa na uchunguzi wa mwili wake umebaini kuwa sehemu ya nyama ilikatwa chini ya titi la kushoto. Marehemu Kanyamala alifariki dunia Januari 15, 2026, baada ya kugongwa na gari jijini Dar es Salaam,…

Read More

RC MBONI: SHINYANGA TUPO TAYARI KUFANIKISHA UWEKEZAJI

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, amepongeza juhudi za Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) katika utekelezaji wa mikakati ya kuhamasisha uwekezaji wa ndani, kufuatia ziara ya kikazi ya mamlaka hiyo mkoani Shinyanga ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Kampeni ya Kitaifa ya Uhamasishaji wa Uwekezaji wa Ndani inayoendelea…

Read More

Mbeya City kuamkia kwa Pamba Jiji?

“TUNAANZA Ligi na Pamba Jiji.” Ni kauli ya Kipa wa Mbeya City, Beno Kakolanya akiwatuliza mashabiki wa timu hiyo kufuatia mwenendo na matokeo yasiyoridhisha inayopata timu hiyo katika Ligi Kuu Bara. Mbeya City iliyorejea Ligi Kuu msimu huu, haijawa na matokeo mazuri hadi kufikia uamuzi wa kuachana na aliyekuwa na Kocha wake, Malale Hamsini. Timu…

Read More

Mbunge alilia soko la senene, Serikali kumuunga mkono

Dodoma. Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM),  Johnston Mutasigwa  ameihoji Serikali kwamba, ina mpango gani wa kuwasaidia masoko ya senene na vifaa bora vya kutengeneza bidhaa hiyo kwa wananchi wa Bukoba. Leo Ijumaa Januari 30, 2026, katika swali la nyongeza, mbunge huyo amesema kwa sasa wafanyabiashara hawana eneo maalumu la kufanyia biashara hiyo na kuomba ikiwezekana…

Read More

RAIS SAMIA AMEJIPANGA KUFIKISHA UMEME VITONGOJI VYOTE

::::::::::: Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kufikisha umeme kwenye vitongoji vyote vilivyobakia nchini ambavyo bado havina huduma ya umeme ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa leo Januari 30, 2026 na Bw. Frank Mugogo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha….

Read More

FURSA MPYA KWA VIJANA: BILIONI 2 KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, amesema Wizara imepatiwa kiasi cha TZS bilioni 2 itakayowawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya kidijitali. Amesema hayo Januari 29, 2026 jijini Dodoma na kubainisha kuwa, fedha hizo zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Read More