DC BUKOBA: MADIWANI TUSAIDIE WATOTO WOTE WAENDE SHULE.

Na Diana Byera_Bukoba. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Erasto Sima, amewataka madiwani wa Halmashauri ya Bukoba kuhakikisha wanashiriki vyema zoezi la kuhakikisha watoto wote wanaotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza, elimu ya awali na darasa la kwanza wanaenda shuleni kabla ya daftari la usajili kufungwa. Kupitia kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya pili…

Read More

DED HALMASHAURI YA BUKOBA ATAJA MIRADI YA KIMKAKATI.

Na Diana Byera_Bukoba. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Fatina Hussein Laay, ametaja miradi ya kimkakati itakayotekelezwa na Halmashauri katika mwaka wa fedha 2025/2026 mbele ya Baraza la Madiwani katika robo ya pili ya Halmashauri hiyo kwa lengo la kuitambulisha na kuijadili katika Baraza la Madiwani. Fatina ameeleza hayo mbele ya Baraza kuwa…

Read More

DC RUFIJI AAGIZA USAJILI MPYA KWA WAFUGAJI FEBRUARI 2026

Mwamvua Mwinyi, Rufiji Januari 30, 2026 MKUU wa Wilaya ya Rufiji, Luteni Kanali Fredrick Komba, ameagiza wafugaji wote wilayani humo kuanza usajili upya kuanzia Februari mwaka huu, ikiwa ni hatua ya kuimarisha utekelezaji wa mpango wa ranchi ndogo unaolenga kudhibiti migogoro kati ya wakulima na wafugaji pamoja na kupata takwimu sahihi za mifugo. Komba alisema…

Read More

Airtel Yazindua Minara 5 Mpya ya Mawasiliano Tanga, Iringa, Ruvuma, Sumbawanga na Mwanza

Tanzania, 16 Januari 2026. KAMPUNI ya Airtel Tanzania imezindua minara mitano mipya ya mawasiliano katika maeneo ya Kilindi – Tanga, Mbalamaziwa – Njombe, Ruanda – Songea, Miombo – Sumbawanga, na Buhongwa – Mwanza, hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa mtandao na kuboresha huduma za simu na intaneti kwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo. Uwekezaji huu ni…

Read More

Burkina Faso yafuta vyama vyote vya siasa

Ouagadougou. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imefanya uamuzi wa kihistoria kufuta rasmi vyama vyote vya siasa nchini humo, hatua iliyothibitishwa na baraza la mawaziri jana Januari 29, 2026. Uamuzi huo unakuja ikiwa ni mwendelezo wa juhudi za serikali ya kijeshi kudhibiti upinzani huku ikiendelea kukabiliana na vitisho vya usalama vinavyotokana na makundi yenye uhusiano…

Read More