TEA YASHIRIKI SIKU MAALUM YA WATAALAMU WA UHASIBU

Wadau mbalimbali wakipata Elimu katika banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakati wa maonesho kwenye siku maalum ya Wataalamu wa Uhasibu (NBAA Career Day) ***************** Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo imeshiriki katika maonyesho maalum yaliyoandaliwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA) kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wataalamu wa Uhasibu….

Read More

YANGA SC MABINGWA MAPINDUZI CUP 2026

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kubeba Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Azam FC kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Mchezo huo uliisha bila kufungana katika dakika 90 za kawaida na hata baada ya kuongezwa dakika 30 za muda wa nyongeza, ambapo…

Read More

Yanga bingwa Mapinduzi Cup 2026

Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 kati ya Azam dhidi ya Yanga iliyochezwa Jumanne ya Januari 13, 2026, haijawa nyepesi kwani kipute kimepigwa hadi dakika 120 ndipo mshindi akaja kupatikana, huku ubabe ukitawala naYanga ikitwaaa ubingwa wake wa tatu. Yanga imefanikwia kuchukua ubingwa huo baada ya kushinda kwa penalti 5-4 kwenye mchezo huo. Hata hivyo,…

Read More

Madiwani wa Mufindi, Mafinga wanolewa ili kuongeza ufanisi wao

Mufindi. Madiwani katika halmashauri za  Wilaya ya Mufindi na Mji Mafinga wametakiwa kutumia vizuri mafunzo yanayotolewa na Chuo cha Serikali za Mitaa (Hombolo), kuimarisha uwajibikaji, ubunifu na ufanisi wa uongozi katika utekelezaji wa majukumu yao. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo leo Jumanne Januari 13, 2026, Katibu Tawala wa Wilaya ya Mufindi, Reuben Chongolo,…

Read More

Dalili njema mafuta kushuka bei 2026

Dar es Salaam. Wamiliki wa magari nchini Tanzania wanaweza kushuhudia unafuu wa bei za mafuta mwaka 2026, kufuatia utabiri wa soko la dunia unaoonesha uwezekano wa ongezeko la uzalishaji wa mafuta ghafi na kushuka kwa bei ya nishati hiyo. Tafiti za masoko ya kimataifa zinaonesha kuwa, bei za mafuta ghafi huenda zikashuka mwaka 2026, huku makadirio…

Read More

Sh796 milioni kuwanufaisha wananchi kituo cha afya Chunya

Chunya. Serikali imetoa zaidi ya Sh 796 milioni kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mbugani, Kata ya Mbugani, Wilaya ya Chunya ili kuwapunguzia adha wananchi kutembea umbali mrefu kufuata huduma. Mradi huo utahudumia wananchi zaidi ya 15,000 ambao awali walikuwa wakitegemea  huduma za afya kwenye zahanati ya Chalangwa na Hospitali ya Wilaya ya…

Read More

Watumishi, wanasiasa waaswa kupima afya kuepuka vifo vya mapema

Dodoma. Watumishi na wanasiasa wametakiwa kuwa na utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara ili kuepuka vifo vya mapema vinavyoweza kuzuilika, iwapo magonjwa yatagundulika katika hatua za awali. Wito huo unakuja katika kipindi ambacho kumeshuhudiwa vifo kadhaa vinavyotokana na magonjwa yasiyoambukiza, yakiwemo shinikizo la damu na kisukari, ambayo huathiri watu wengi wakiwa katika umri…

Read More