Nishati mbadala yatajwa kuwa suluhu ya uharibifu wa mazingira
Tabora. Matumizi ya nishati mbadala yameendelea kutajwa kuwa suluhu ya kudumu ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira na changamoto za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati isiyo rafiki kwa mazingira, huku wadau wakihimizwa kuwekeza na kuhamasisha matumizi yake kwa wananchi. Katika muktadha huo, washiriki wa kozi ya 14 kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania…