Kagera Sugar wana jambo lao Championship

BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limedai halitaki kufanya makosa yatakayowagharimu katika mechi zilizobaki za Ligi ya Championship na kukwamishwa kurejea Ligi Kuu Bara. Ili kutimiza malengo ya safari ya matumaini, Kagera imetangaza vita kwa wapinzani ikituma ujumbe kuwa sasa  kila mechi ni fainali na haipo tayari kupoteza. Timu hiyo ya mkoani Kagera ilishuka daraja…

Read More

Magari 21 yazuiwa kubeba wanafunzi Kilimanjaro

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeyazuia magari 21 ya shule kuendelea na shughuli za usafirishaji wa wanafunzi, baada ya kubainika kuwa ni mabovu na hayako katika hali salama ya kusafirisha wanafunzi. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia ukaguzi maalumu wa magari ya shule uliofanyika kuanzia Januari 9 hadi Januari 12, 2026 katika wilaya zote za…

Read More

Tajiri 1% wamevuma Kupitia Mgao wao Sahihi wa Uzalishaji wa Kaboni kwa 2026 – ndani ya Siku 10 pekee – Masuala ya Ulimwenguni.

Mkopo: Oxfam Maoni na Oxfam (london) Jumanne, Januari 13, 2026 Inter Press Service LONDON, Januari 13 (IPS) – Asilimia 1 tajiri zaidi wamemaliza bajeti yao ya kila mwaka ya kaboni – kiasi cha CO2 ambacho kinaweza kutolewa huku kikiwa ndani ya nyuzi joto 1.5 – siku kumi tu ndani ya mwaka, kulingana na uchambuzi mpya…

Read More

Mtanzania apewa mwaka na nusu Misri

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Oscar Evalisto amejiunga na Port Fouad inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea Makadi FC. Evalisto aliitumikia Makadi kwa msimu mmoja akifunga mabao matano na asisti nne kwenye mechi 10 alizocheza akiibuka na tuzo moja  ya mchezaji bora wa mwezi. Akizungumza na Mwanaspoti, Evalisto amesema…

Read More

Uongozi Yanga wamshangaa Folz, wajibu tuhuma

Muda mfupi baada ya Kocha Romain Folz kudai alichoshwa na maisha ndani ya Yanga na kusema sababu za nje ya uwanja zilichangia kumfanya atimuliwe, klabu hiyo imejibu mapigo huku ikimtakia kila la kheri kocha huyo msaizidi wa zamani wa Mamelodi Sundowns. Ofisa Habari na Mahusiano wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa uamuzi wa kuachana na…

Read More

Uongozi Yanga wamshaa Folz, wajibu tuhuma

Muda mfupi baada ya Kocha Romain Folz kudai alichoshwa na maisha ndani ya Yanga na kusema sababu za nje ya uwanja zilichangia kumfanya atimuliwe, klabu hiyo imejibu mapigo huku ikimtakia kila la kheri kocha huyo msaizidi wa zamani wa Mamelodi Sundowns. Ofisa Habari na Mahusiano wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa uamuzi wa kuachana na…

Read More