Straika mpya Simba apewa mitatu
SIMBA ipo katika mazungumzo na Mbeya City kwa ajili ya kumbeba jumla mshambuliaji, Baraka Mwangosi baada ya kuridhishwa na uwezo aliouonyesha katika michuano ya Mapinduzi Cup 2026. Mwangosi alikuwa na kikosi cha Simba visiwani Zanzibar kwa majaribio katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofikia tamati leo kwa kupigwa mechi ya fainali kati ya Azam FC…