MANISPAA KIBAHA YAFUNGUA SHULE 2 MPYA ZA MCHEPUO WA KIINGEREZA
………… Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha mwaka 2026 imeendelea kuimarisha sekta ya elimu kwa kujenga na kufungua shule za awali na msingi za mchepuo wa Kiingereza ili kukidhi mahitaji ya wananchi waliokuwa wakihitaji huduma hiyo. Miongoni mwa shule hizo ni Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere iliyopo Kata ya Sofu, ambayo tayari imekamilika na kuanza kutoa…