Uislam na adabu ya kubisha hodi

Dar es Salaam. Hakika Uislamu umeipa nafasi kubwa sana elimu ya malezi ya kijamii. Haukuacha jambo dogo wala kubwa isipokuwa umelifafanua. Umebainisha kwa kina haki za wazazi, haki za wanandoa na watoto, haki za majirani, pamoja na miamala yote na maadili ya Kiislamu. Miongoni mwa maadili hayo ni adabu ya kupiga hodi. Adabu hii ni…

Read More

KONA YA MSTAAFU: Miradi inayotokana na hela ya mstaafu!

Watu wamekuwa wakisifia sana mitandao ya jamii kuwa inasaidia kuiamsha jamii yetu ijitambue ili kuleta maendeleo ya kweli kwenye nchi. Ni jambo jema. Tusameheane tu kwamba hakuna meza za kupiga makofi ili kushangilia hoja hii njema kama kule “naniliu”! Wananchi wamekuwa wakitoa mifano hai kulithibitisha hili kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru wake miaka 65…

Read More

Wanawake wanapochagua ukimya kuokoa afya ya akili

Alikuwa amezoea kuamka na simu mkononi. Kila taarifa, ujumbe na hata picha aliyoweka kwenye mitandao ya kijamii ilikuwa sehemu ya maisha yake ya kila siku. Lakini siku moja, aliamua kuifunga simu, kuondoka mtandaoni.Aliyafanya haya si kwa sababu hakupenda tena dunia ya kidijitali, bali kwa sababu dunia hiyo ilikuwa imemgeuka. Asha si jina halisi ni binti…

Read More

Madhara yasababishwayo na ‘stress’ | Mwananchi

Mkazo au shinikizo kitabibu hujulikana kwa jina la ‘Stress’, ni hali ya mwitikio wa mwili kujihami au kujibu mapigo baada ya kupata tishio, changamoto, kuwa katika hatari au mahitaji ambayo mara nyingi husababishwa na wasiwasi unaomwelemea. Shinikizo la jumla lina athari kimwili pale linapoathiri akili na hisia na ndipo hujulikana kama shinikizo la akili. Hali…

Read More

Kabla hujachora tattoo unajua haya?

Utafiti mpya unaonyesha kuwa tatoo zinaweza kuongeza hatari ya mtu kupata saratani ya ngozi aina ya melanoma, ambayo ni miongoni mwa aina hatari zaidi za saratani ya ngozi. Saratani hii mara nyingi huhusishwa na athari za mionzi ya jua (UV) kwenye ngozi. Utafiti huo, uliofanywa na watafiti kutoka nchini Uswisi uligundua kuwa watu wenye tattoo,…

Read More