Aliyeitungua Simba, aibukia Singida Black Stars
KLABU ya Singida Black Stars, imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Fufuni ya Pemba, Mboni Stephen Kibamba ambaye aliitungua Simba katika mechi ya makundi katika Kombe la Mapinduzi 2026. Mshambuliaji huyo ambaye ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Zanzibar msimu huu akihusika na mabao 16 katika mechi 15, akifunga 10 na asisti sita, anatua…