VIDEO: Wanne wafariki dunia ajalini Tanga, 16 wajeruhiwa
Korogwe. Ajali nyingine ya gari imetokea katika Mkoa wa Tanga na kusababisha vifo vya watu wanne huku wengine 16 wakijeruhiwa. Ajali hiyo ni ya tatu iliyosababisha vifo ndani ya siku chache za mwanzo wa mwaka 2026 na mwishoni mwa 2025. Ajali ya kwanza ilitokea Morogoro, Desemba 31, ikiua watu 10 na kuwajeruhi 18. Taarifa kwa…