Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji
Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji – Global Publishers Home Habari Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji
Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji – Global Publishers Home Habari Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaonya kwamba karibu miaka mitatu ya ghasia endelevu, vikwazo vya upatikanaji wa misaada ya kibinadamu na kupungua kwa ufadhili kumeisukuma Sudan katika kile wanachoeleza kuwa dharura kubwa zaidi ya kibinadamu duniani. Takriban watu milioni 33.7 – karibu theluthi mbili ya idadi ya watu – wanatarajiwa kuhitaji msaada wa kibinadamu mwaka…
Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026 – Global Publishers Home Ajira Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026
PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali – Global Publishers Home Ajira PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Kilimo Hai Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo (TOAM) linaratarajia kufanya Mkutano MKuu wa Nne Machi 3hadi Machi 5 ,2026 jijini Dodoma kwa ajili ya kujadili na wadau kuhusiana na kilmo hai nchini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bakari Mongo…
USHINDI mkubwa unaanzia hapa hapa Meridianbet kwa kubashiri mechi zote siku ya leo. Mechi zote za ushindi zinakungoja hapa leo kwani huenda leo hii ndio ikawa ni siku yako ya kuondoka na mshindo wa maana. Ingia kwenye akaunti yako na ushinde leo. Tukianza na mechi za ligi kuu ya Ujerumani, yaani BUNDESLIGA leo kuna mechi…
BAADA ya Yanga kukamilisha uhamisho wa aliyekuwa winga wa Vipers na timu ya taifa ya Uganda, The Cranes, Allan Okello timu hiyo kwa sasa imevunja rekodi ya usajili ya kikosi hicho na kuivuka iliyokuwa inashikiliwa na Cesar Lobi Manzoki. Okello amekamilisha usajili huo baada ya mazungumzo ya pande mbili kati ya Rais wa Yanga, Injinia…
BAADA ya kukaa na kikosi kwa takribani siku kumi na kucheza mechi tatu za Kombe la Mapinduzi 2026, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker ametoa maagizo mazito kwa uongozi katika ishu nzima ya kuboresha kikosi kinachojiandaa kwa mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi y Mabingwa Afrika. Barker alitambulishwa na Simba Desemba 19, 2025 akichukua…
KAMA haitatokea dharura basi tambua kwamba Yanga imefunga rasmi usajili kupitia dirisha hili dogo ikiingiza mashine tano ikigusa idara zote kasoro eneo la makipa tu, huku taarifa tamu kwa mashabiki wa klabu hiyo ni nyota mpya kutoka Uganda, Allan Okello anayetarajiwa kuiwahi fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026. Yanga imefunga hesabu ikiingiza viungo Mohamed Damaro…
KESHO Jumanne, ile safari ya takribani siku 17 katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inakwenda kuhitimishwa kwa kupigwa mechi ya fainali. Ni mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa pale Azam itakapocheza dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba. Mechi hii inazikutanisha timu mbili ambazo kila moja ina sifa yake. Azam ni bingwa wa…