Ujumbe wa kutafuta ukweli unaitaka Iran kukomesha vurugu za maandamano na kurejesha mtandao – Masuala ya Ulimwenguni

Katika taarifa ya habari iliyotolewa Jumamosi, The Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Kutafuta Ukweli kuhusu Iran ilisema imeshtushwa na ripoti za kuaminika kwamba vikosi vya usalama vimeagizwa kutekeleza “maamuzi” msako bila kizuizi, kama maandamano yaliingia wiki ya tatu. Mtandao na miunganisho ya simu zilizimwa jioni ya tarehe 8 Januari, na hivyo kuzuia kwa kiasi kikubwa…

Read More

NAIBU WAZIRI MAJI ACHARUKA MKANDARASI KUTELEKEZA MRADI CHATO

………… CHATO NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameagiza kukatwa fedha za mkandarasi wa kampuni ya “Peritus Exim Infrastructure Co. LTD” iliyokuwa ikitekeleza ujenzi wa mradi wa maji taka wilayani Chato mkoani Geita kutokana na kukiuka mkataba. Kwa mujibu wa mkataba huo mkandarasi alipaswa kuanza ujenzi juni 23, 2023 na kukamilisha Desemba 20, 2024….

Read More

Rais Mwinyi atoa nishani 18 miaka 62 ya mapinduzi

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametunuku nishani ya mapinduzi kwa watu maalumu na utumishi uliotukuka 18 katika kuadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mipngoni mwao  akiwemo Fatma Karume mke wa muasisi wa mapinduzi, Abeid Amani Karume. Kati ya nishani hizo, wanane wamepewa za mapinduzi na nishani 10 za utumishi uliotukuka kwa viongozi…

Read More