Bandari ya Pemba kufungua zaidi milango ya utalii

Na Mwandishi Wetu PEMBA Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema Pemba ina vivutio vingi vya utalii hivyo ujenzi wa Bandari yaMkoani, Pemba itafungua zaidi milango katika sekta mbalimbali. Mhe. Masauni amesema, Bandari ya Mkoani ni kiunganishi na muhimili wa maisha ya kila siku ya…

Read More

WANANCHI WAMPA MBUZI DUME MBUNGE MAGEMBE

……….. CHATO WANANCHI wa kata ya Kasenga wilayani Chato mkoani Geita, wamemtunuku zawadi ya mbuzi dume Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini, Mwl. Cornel Magembe, baada ya kuwaondolea adha ya usafiri iliyokuwa ikiwakabili kwa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Wamesema hivi sasa wanafurahia uwepo wa barabara nzuri katika maeneo yao baada ya serikali kufungua mtandao…

Read More

Wananchi Zanzibar watakiwa kupisha miradi ya maendeleo

Unguja. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Hamza Hassan Juma amesema kila mwananchi atakayepisha ujenzi wa miradi atalipwa fidia na Serikali ya Mapinduzi bila kudhulumiwa. Hivyo, amewasihi wananchi kuendelea kuiamini Serikali kwa kutoa ushirikiano wa kupisha miradi ya maendeleo inayoendelea kisiwani hapa. Kauli hiyo…

Read More

BABA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUMCHOMA MOTO MTOTO WAKE

 ……………….. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Joseph Daudi Mwakalinga maarufu kama Jiggerman, mkazi wa Zimbili, Kinyerezi wilayani Ilala, kwa tuhuma za kumjeruhi mtoto wake kwa kutumia fimbo na moto. Mtuhumiwa anadaiwa kutekeleza tukio hilo Januari 8, 2026, katika eneo la Kinyerezi, huku jina la mtoto likihifadhiwa kwa sababu za kisheria….

Read More

Wazazi, walezi Arusha watakiwa kuhakikisha watoto wanaripoti shule

Arusha. Zikiwa zimesalia siku chache Shule za Msingi na Sekondari kufunguliwa nchini, wazazi na walezi nchini wametakiwa kuhakikisha watoto wenye umri wa kwenda shule wanaripoti na kuanza masomo. Wametakiwa kutambua kuwa kusomesha watoto ni hazina wameweka na kusaidia kuongeza mabadiliko katika jamii. Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais-Utumishi, Regina Qwaray, amesema hayo leo Jumapili Januari…

Read More

Duka la vifaa vya umeme lateketea kwa moto Arusha

Arusha. Duka kubwa la kuuza vifaa vya umeme na elektroniki lililopo eneo Mtaa wa Bondeni jirani na Kituo Kikuu cha mabasi jijini hapa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Jumapili na kusababisha hasara ambayo haijaelezwa mara moja. Imeelezwa kuwa moto huo ulianza majira ya saa moja jioni ya siku ya Jumamosi, Januari 10, 2025…

Read More

Rufaa yamuokoa na hukumu ya kifo

Dar es Salaam. Nani alimuua Farhan Maluli na mabaki ya mwili yaliyofukuliwa huko Sharifu Shamba jijini Dar es Salaam ni ya nani? Ndio swali linalohitaji majibu baada ya Mahakama ya Rufani kubatilisha hukumu ya kifo aliyopewa Hemed Ally. Farhan ambaye alikuwa kondakta wa Basi la Kampuni ya Wahida Bus Services ilidaiwa aliuawa Juni 12, 2014…

Read More

Mabadiliko bei ya mazao kudhibitiwa Kyela

Mbeya. Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Kyela mkoani Mbeya (Kyecu) kimesema mabadiliko ya mara kwa mara ya bei za mazao ya biashara, likiwamo zao la cocoa, yataanza kudhibitiwa baada ya kukamilika kwa viwanda vya uchakataji vinavyojengwa wilayani humo. Kauli hiyo imetolewa kufuatia kushuka kwa bei ya cocoa hadi kufikia Sh12,250 kwa kilo moja katika mnada…

Read More