Malkia asimulia Waluguru walivyotumia mawe kujilinda

Morogoro. Waluguru ni miongoni mwa makabila yaliyothamini amani, utulivu na mshikamano lakini walipokabiliwa na maadui hawakusita kujilinda kwa mbinu za jadi ikiwemo adui king’ang’anizi kumporomoshea mawe. Akizungumza na mwananchi leo Januari 11. 2026 katika tambiko la jadi mjini hapa,  Malkia wa akina mama wa kabila la Waluguru, Wamingila Shilingimbili amesema wazee wao walikuwa wakikimbilia juu…

Read More

Wananchi Ngeleli Iringa walia na kero ya kivuko

Iringa. Wananchi wa Mtaa wa Ngeleli, Kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa, wameelezea hofu yao juu ya usalama kutokana na ubovu wa Kivuko cha Taro kinachotumiwa na wakazi kuvuka kwenda mashambani, shule na maeneo ya jirani. Kivuko cha Taro kimekuwa kiungo muhimu kwa wananchi wa Ngeleli, wakikitumia kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii, lakini…

Read More

Anapa kuzalisha mazao mapya ya utalii

Arusha. Ikiwa zimepita siku chache tangu jarida la Kimataifa la  CNN Travel kutaja Hifadhi ya Taifa ya Arusha (Anapa), miongoni mwa maeneo bora ya kusafiri mwaka 2026,Hifadhi hiyo imejipanga kuanzisha mazao mapya ya utalii. Lengo la uanzishaji wa mazao mapya ya utalii ni kuongeza watalii wa nje na ndani ili kujionea vivutio hivyo ikiwemo Mlima…

Read More

TRA yaeleza mikakati ya kudhibiti upotevu wa mapato

Dar es Salaam. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema wataendelea kupambana na watu wote wanaojihusisha na vitendo vya ukwepaji wa kodi kwa kudhibiti mianya inayotumika kukwepa kodi. Juzi, akihitimisha kikao cha tathmini ya utendaji kazi wa TRA kwa kipindi cha nusu mwaka wa fedha 2025/26 kilichofanyika kwa muda wa…

Read More

Kassim Mbarouk aanza vyema Uturuki

WINGA wa Kitanzania anayekipiga Dispas SC ya Ligi ya Walemavu Uturuki, Kassim Mbarouk ameanza vyema ligi hiyo baada ya kufunga bao moja na kuasisti moja kwenye mechi tatu alizocheza. Mbarouk aliyesajiliwa hivi karibuni akitokea Parasports ya Tanzania, anakuwa mchezaji wa nne kutoka Tanzania kujiunga na Ligi ya Walemavu nchini Uturuki baada ya Ramadhan Chomelo, Shedrack…

Read More

Express yarejea kwa Galiwango | Mwanaspoti

MABOSI wa timu ya Express ya Uganda wamefungua mazungumzo ya kumrejesha aliyekuwa beki wa kushoto wa timu hiyo, Dissan Galiwango, baada ya nyota huyo kubakisha mkataba wa miezi sita na kikosi cha Dodoma Jiji unaofikia tamati Juni 30, 2026. Galiwango aliyejiunga na Dodoma Jiji, Agosti 16, 2024, akitokea Kagera Sugar, alisaini mkataba wa miaka miwili…

Read More

Chongolo atangaza njia kubaini ubadhirifu vyama vya ushirika

Dar es Salaam. Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amesema atawatumia wakaguzi wa wizara hiyo kukagua mahesabu ya vyama mbalimbali vya ushirika ili kubaini ubadhirifu. Chongolo alisema hayo wakati wa mkutano mkuu wa 30 wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC), uliofanyika juzi na jana Jumamosi, Januari 10, 2026, jijini Dar es Salaam na kushirikisha…

Read More